Ufafanuzi wa jumlisha katika Kiswahili

jumlisha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    tafuta idadi kwa kuweka namba kadha pamoja na nyingine; fanya jumla ya.

Matamshi

jumlisha

/ʄumli∫a/