Ufafanuzi wa kabati katika Kiswahili

kabati

nominoPlural makabati

  • 1

    aina ya sanduku kubwa la wima linalotengenezwa kwa mbao, chuma au bati kwa kuhifadhia vitu k.v. nguo, vyombo au mafaili.

Matamshi

kabati

/kabati/