Ufafanuzi wa kabibu katika Kiswahili

kabibu

kivumishi

  • 1

    -embamba na iliyonyoka.

Asili

Kar

Matamshi

kabibu

/kabibu/