Ufafanuzi wa kabrasha katika Kiswahili

kabrasha

nomino

  • 1

    furushi la nyaraka za mkutano k.v. ratiba na madokezo mbalimbali yanayotolewa kabla ya mkutano, kikao au kongamano.

Matamshi

kabrasha

/kabraŹƒa/