Ufafanuzi msingi wa kachiri katika Kiswahili

: kachiri1kachiri2

kachiri1

nominoPlural kachiri

  • 1

    mchezo wa watoto ambao mtu hugotanisha miguu miwili pamoja na kurukaruka kwa kwenda mbele na nyuma.

Asili

Khi

Matamshi

kachiri

/kat∫iri/

Ufafanuzi msingi wa kachiri katika Kiswahili

: kachiri1kachiri2

kachiri2

nominoPlural kachiri

  • 1

    chakula kinachopikwa kwa kuchanganya mchele, choroko na adesi au dengu na kusongwa.

Asili

Khi

Matamshi

kachiri

/kat∫iri/