Ufafanuzi msingi wa kadhaa katika Kiswahili

: kadhaa1kadhaa2

kadhaa1

nominoPlural kadhaa

  • 1

    jambo alitakalo mtu.

    haja

Matamshi

kadhaa

/kaDa:/

Ufafanuzi msingi wa kadhaa katika Kiswahili

: kadhaa1kadhaa2

kadhaa2

kivumishi

  • 1

    -a idadi maalumu.

    ‘Wamehudhuria watu kadhaa’

Asili

Kar

Matamshi

kadhaa

/kaDa:/