Ufafanuzi wa kadiria katika Kiswahili

kadiria

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya makisio.

    ‘Kadiria gharama ya arusi’
    pima, enza, kisia, bahatisha

Asili

Kar

Matamshi

kadiria

/kidirija/