Ufafanuzi wa kakau katika Kiswahili

kakau, kakao

nominoPlural kakau

  • 1

    mbegu za mkakau.

Asili

Kng

Matamshi

kakau

/kakawu/

nominoPlural kakau

  • 1

    unga wa mbegu za mkakau, ambao hutumika kutengenezea chokoleti, tofi au kinywaji kama chai.

Matamshi

kakau

/kakawu/

nominoPlural kakau

  • 1

    kinywaji kinachotengenezwa kwa unga wa mbegu za mkakau zilizosagwa na maji au maziwa.

Matamshi

kakau

/kakawu/