Ufafanuzi wa kalamu katika Kiswahili

kalamu

nomino

  • 1

    kifaa kinachotumiwa kuandikia kwenye karatasi.

Asili

Kar

Matamshi

kalamu

/kalamu/