Ufafanuzi wa kamari katika Kiswahili

kamari

nominoPlural kamari

  • 1

    mchezo wa fedha ambapo wachezaji hutoa fedha zao na mshindi huzichukua zote.

Asili

Kar

Matamshi

kamari

/kamari/