Ufafanuzi wa kambi katika Kiswahili

kambi

nominoPlural kambi

 • 1

  mahali msafara unapotua au unapopumzika.

  ago, kigono, malago, chengo, kituo

 • 2

  makao ya wanajeshi.

 • 3

  makao ya muda ya vikundi vya watu k.v. wanariadha, wajenzi, vijana, n.k..

Asili

Kng

Matamshi

kambi

/kambi/