Ufafanuzi wa kamilisha katika Kiswahili

kamilisha

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya kuwa kamili.

    maliza, timiza, tekeleza, akidi

Asili

Kar

Matamshi

kamilisha

/kamiliʃa/