Ufafanuzi msingi wa kampuni katika Kiswahili

: kampuni1kampuni2

kampuni1

nominoPlural kampuni

  • 1

    shirika la kufanya biashara au shughuli nyingine.

    ‘Kampuni ya Biashara ya Mkoa’

Asili

Kng

Matamshi

kampuni

/kampuni/

Ufafanuzi msingi wa kampuni katika Kiswahili

: kampuni1kampuni2

kampuni2

nominoPlural kampuni

  • 1

    kikundi cha askari kidogo kuliko kikosi, agh. huwa chini ya kapteni au meja.

    kombania

Asili

Kng

Matamshi

kampuni

/kampuni/