Ufafanuzi wa kangambili katika Kiswahili

kangambili

nominoPlural kangambili

  • 1

    mdudu mrefu mwenye rangi nyekundu na nyeusi, ambaye huishi katika miti k.v. msufi, mbuyu, pamba au kwenye magugu.

Matamshi

kangambili

/kangambili/