Ufafanuzi wa kangara katika Kiswahili

kangara

nominoPlural kangara

  • 1

    pombe inayotengenezwa kwa pumba za mahindi au mtama na kutiwa chachu na kimea cha ulezi na kisha hutiwa sukari au asali.

Matamshi

kangara

/kangara/