Ufafanuzi wa kangata katika Kiswahili

kangata

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    shikilia au ng’ang’ania jambo au mtu mpaka haja itimie.

Matamshi

kangata

/kangata/