Ufafanuzi wa kanju katika Kiswahili

kanju

nomino

  • 1

    tunda la mkanju.

    bibo

Asili

Khi

Matamshi

kanju

/kanʄu/