Ufafanuzi wa kano katika Kiswahili

kano

nominoPlural kano

  • 1

    nyuzi zenye nguvu zilizo katika minofu ya mwili.

Matamshi

kano

/kanɔ/