Ufafanuzi msingi wa kanyaboya katika Kiswahili

: kanyaboya1kanyaboya2

kanyaboya1

nominoPlural kanyaboya

  • 1

    utaratibu wa kuuziana bidhaa feki au iliyoghushiwa kwa njia ya udanganyifu.

Matamshi

kanyaboya

/ka3abOja/

Ufafanuzi msingi wa kanyaboya katika Kiswahili

: kanyaboya1kanyaboya2

kanyaboya2

nominoPlural kanyaboya

  • 1

    kitu anachopewa mnunuzi kwa udanganyifu tofauti na kile alichokusudia kukinunua.

Matamshi

kanyaboya

/ka3abOja/