Ufafanuzi wa karafuu katika Kiswahili

karafuu

nominoPlural karafuu

  • 1

    kikonyo cha ua la mkarafuu kinachotumika kama kiungo cha chakula, pia hutiwa katika sigara, kufanyiza dawa, n.k..

    ‘Mafuta ya karafuu’

Asili

Kar

Matamshi

karafuu

/karafu:/