Ufafanuzi wa karakara katika Kiswahili

karakara

nomino

  • 1

    tunda lenye mbegu nyeusi na hutambaa kwenye mimea au miti linalotumiwa kutengenezea juisi.

    pesheni

Matamshi

karakara

/karakara/