Ufafanuzi wa karamka katika Kiswahili

karamka

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kuwa katika hali ya kuchangamka.

    furuka

  • 2

    kuwa mjanja zaidi ya kawaida.

    janjaruka, erevuka

Matamshi

karamka

/karamka/