Ufafanuzi msingi wa karara katika Kiswahili

: karara1karara2karara3

karara1

nominoPlural makarara, Plural karara

  • 1

    ua la mnazi.

Matamshi

karara

/karara/

Ufafanuzi msingi wa karara katika Kiswahili

: karara1karara2karara3

karara2

nominoPlural makarara, Plural karara

  • 1

    makumbi ya mkonge.

Matamshi

karara

/karara/

Ufafanuzi msingi wa karara katika Kiswahili

: karara1karara2karara3

karara3

nominoPlural makarara, Plural karara

  • 1

    andazi tamu linalotengenezwa kwa unga na sukari na hukaangwa katika samli au mafuta na baadaye huchovywa katika shira.

Matamshi

karara

/karara/