Ufafanuzi wa kasa katika Kiswahili

kasa

nomino

  • 1

    mnyama wa baharini anayefanana na kobe, huwa na magubiti makubwa na hutaga mayai kwenye nchi kavu.

Asili

Kaj

Matamshi

kasa

/kasa/