Ufafanuzi msingi wa kashabu katika Kiswahili

: kashabu1kashabu2

kashabu1

nominoPlural kashabu

  • 1

    kijiti cha mti ambacho kinatumiwa kuvutia mbali nyuzi katika kazi ya kufuma au kutarizi.

Asili

Kar

Matamshi

kashabu

/ka∫abu/

Ufafanuzi msingi wa kashabu katika Kiswahili

: kashabu1kashabu2

kashabu2

nominoPlural kashabu

  • 1

    ushanga mnenemnene wenye uwazi ndani, agh. wenye rangi ya dhahabu au fedha.

    siniguse

Asili

Kar

Matamshi

kashabu

/kaʃabu/