Ufafanuzi wa kashmiri katika Kiswahili

kashmiri

nominoPlural kashmiri

  • 1

    kitambaa cha sufi au manyoya ya mbuzi wa Kashmiri.

Asili

Kng

Matamshi

kashmiri

/kaʃmiri/