Ufafanuzi wa kasimile katika Kiswahili

kasimile

nominoPlural kasimile

  • 1

    maji au tui zito la nazi iliyokamuliwa katika kifumbu.

Asili

Kar

Matamshi

kasimile

/kasimilɛ/