Ufafanuzi wa kasirikia katika Kiswahili

kasirikia

kitenzi elekezi

  • 1

    fanyia mtu hasira kutokana na jambo baya alilokufanyia.

Asili

Kar

Matamshi

kasirikia

/kasirikija/