Ufafanuzi msingi wa kaskazi katika Kiswahili

: kaskazi1kaskazi2

kaskazi1

nominoPlural kaskazi

  • 1

    msimu wa upepo unaovuma kutoka Kaskazini Mashariki na wenye joto kali, hasa katika uwanda wa pwani.

Asili

Kar

Matamshi

kaskazi

/kaskazi/

Ufafanuzi msingi wa kaskazi katika Kiswahili

: kaskazi1kaskazi2

kaskazi2

nominoPlural kaskazi

  • 1

    upande wa Kaskazini.

    kibla, hanali

Asili

Kar

Matamshi

kaskazi

/kaskazi/