Ufafanuzi wa kasuku katika Kiswahili

kasuku

nominoPlural kasuku

  • 1

    ndege mkubwa mwenye rangi nyingi anayeweza kuiga kusema kama binadamu na mara nyingi hufugwa majumbani.

    dura

Matamshi

kasuku

/kasuku/