Ufafanuzi wa kasula katika Kiswahili

kasula

nominoPlural kasula

  • 1

    Kidini
    vazi la kasisi lisilo na mikono la kutolea misa kanisani.

  • 2

    vazi la kasisi lililo na mikono mipana sana la kuendeshea ibada kanisani.

Matamshi

kasula

/kasula/