Ufafanuzi msingi wa kata kamba katika Kiswahili

: Kata kamba1kata kamba2

Kata kamba1

msemo

  • 1

    fariki dunia; kufa.

Ufafanuzi msingi wa kata kamba katika Kiswahili

: Kata kamba1kata kamba2

kata kamba2

msemo

  • 1

    toroka; fariki dunia.