Ufafanuzi wa katekista katika Kiswahili

katekista

nominoPlural makatekista

Kidini
  • 1

    Kidini
    mwalimu wa dini ya Ukristo afundishaye wanafunzi wa dini kwa kufuata kitabu cha katekisimu.

Asili

Kng

Matamshi

katekista

/katɛkista/