Ufafanuzi wa kauli kinzani katika Kiswahili

kauli kinzani

  • 1

    uzungumzaji usio na mtiririko wala mantiki; uzungumzaji usio fasaha.

  • 2

    kauli yenye kupingana.