Ufafanuzi msingi wa kauri katika Kiswahili

: kauri1kauri2

kauri1

nomino

  • 1

    gome la konokono mdogo wa baharini ambalo hutumika katika uganga na kwenye mapambo, na zamani zilitumika kama fedha.

    simbi, kete, dondo

Asili

Khi

Matamshi

kauri

/kawuri/

Ufafanuzi msingi wa kauri katika Kiswahili

: kauri1kauri2

kauri2

nomino

  • 1

    udongo mweupe na mwepesi unaong’aa na unaotengenezewa vyombo.

    ‘Sahani za kauri’

Asili

Khi

Matamshi

kauri

/kawuri/