Ufafanuzi msingi wa kayakaya katika Kiswahili

: kayakaya1kayakaya2

kayakaya1

nominoPlural kayakaya

Kibaharia
 • 1

  Kibaharia
  vinyama vya pwani vya kabila la kaa vinavyochimba vishimo kandokando ya ufukwe wa bahari.

  chwago, furo

Matamshi

kayakaya

/kajakaja/

Ufafanuzi msingi wa kayakaya katika Kiswahili

: kayakaya1kayakaya2

kayakaya2

nominoPlural kayakaya

 • 1

  sehemu ya tanga inayoweza kukunjwa katika mtepe.

 • 2

  sehemu ambazo tanga hukunjiwa kwenye foromali.

Matamshi

kayakaya

/kajakaja/