Ufafanuzi wa kechekeche katika Kiswahili

kechekeche

kielezi

  • 1

    neno la kueleza hali ya kuvunjika kabisa au vibaya.

    ‘Vunjika kechekeche’

Matamshi

kechekeche

/kɛt∫ɛkɛt∫ɛ/