Ufafanuzi msingi wa kekee katika Kiswahili

: kekee1kekee2

kekee1 , keekee

nominoPlural kekee

  • 1

    chombo cha seremala cha kutobolea mbao.

Matamshi

kekee

/kɛkɛ:/

Ufafanuzi msingi wa kekee katika Kiswahili

: kekee1kekee2

kekee2

nominoPlural kekee

  • 1

    pambo la kike livaliwalo kama kikuku au bangili.

    timbi, kikuku

Matamshi

kekee

/kɛkɛ:/