Ufafanuzi wa kema katika Kiswahili

kema

kitenzi sielekezi

  • 1

    lia kwa nguvu kwa hasira, hofu au maumivu.

  • 2

    piga kelele.

Matamshi

kema

/kɛma/