Ufafanuzi wa kemba katika Kiswahili

kemba

kitenzi elekezi~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    ondoa ganda.

    ‘Kemba muhogo’
    menya, ambua, bandua

Matamshi

kemba

/kɛmba/