Ufafanuzi wa kereza katika Kiswahili

kereza

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    kata kwa kitu chenye meno; kata kwa kukwaruza.

  • 2

    tengeneza umbo la kitu kwa kukwaruza.

Matamshi

kereza

/kɛrɛza/