Ufafanuzi msingi wa kerezo katika Kiswahili

: kerezo1kerezo2

kerezo1

nominoPlural kerezo

  • 1

    mashine ya kukerezea.

Matamshi

kerezo

/kɛrɛzO/

Ufafanuzi msingi wa kerezo katika Kiswahili

: kerezo1kerezo2

kerezo2

nominoPlural kerezo

  • 1

    mlio wa pumzi za mgonjwa wakati anapozidiwa sana au anapokata roho; mkoromo mbaya.

Matamshi

kerezo

/kɛrɛzO/