Ufafanuzi wa keshokutwa katika Kiswahili

keshokutwa

nomino

  • 1

    siku baada ya kesho.

Matamshi

keshokutwa

/kɛ∫ɔkutwa/