Ufafanuzi wa keta katika Kiswahili

keta

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eana, ~eka, ~esha, ~ewa, ~wa

  • 1

    piga mtu mpaka aanguke.

Matamshi

keta

/kɛta/