Ufafanuzi wa kiambishi katika Kiswahili

kiambishi

nominoPlural viambishi

Sarufi
 • 1

  Sarufi
  kipande cha neno, agh. huwa ni silabi, kinachoweza kuambatishwa kwenye mzizi wa neno na kuunda neno jipya.

  ‘‘-ni’ ni kiambishi cha mahali katika maneno ‘shambani’ na ‘darasani’’

 • 2

  Sarufi
  mofimu inayoambatanishwa kwenye mzizi wa neno ili kuwakilisha hali au dhana fulani.

Matamshi

kiambishi

/kijambiʃi/