Ufafanuzi wa kiamshakinywa katika Kiswahili

kiamshakinywa, chamshakinywa

nomino

  • 1

    chakula cha kwanza cha asubuhi baada ya kuamka.

    kifunguakinywa, staftahi, kisebeho