Ufafanuzi wa kiango katika Kiswahili

kiango

nominoPlural viango

  • 1

    kitu kilichofungwa ukutani ili kuangikia taa; kishikio cha taa.

Matamshi

kiango

/kijangɔ/