Ufafanuzi wa kianzo katika Kiswahili

kianzo

nominoPlural vianzo

  • 1

    ubao unaotumiwa kwa kuanzia kushonea k.v. mikeka, majamvi au makanda.

    kielezi

Matamshi

kianzo

/kijanzO/