Ufafanuzi wa kiatilifu katika Kiswahili

kiatilifu

nomino

  • 1

    dawa itumiwayo kuulia wadudu wanaoruka na wanaotambaa.

Matamshi

kiatilifu

/kijatilifu/