Ufafanuzi wa kibafute katika Kiswahili

kibafute

nomino

  • 1

    mchezo wa watoto wa kukisia idadi ya vitu vilivyofumbatwa katika gao la mkono wa mwingine.

Matamshi

kibafute

/kibafutÉ›/